iqna

IQNA

miujiza ya isa
Nabii Isa (AS) alikuwa miongoni mwa Ulul Azm (watano wakubwa) mitume wa Mwenyezi Mungu na Qur'ani Tukufu inazingatia sana tabia yake.
Habari ID: 3477195    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/26

Sura za Qur'ani Tukufu /19
TEHRAN (IQNA) – Bibi Maryam, mama yake Nabii Isa (AS), ametajwa ndani ya Qur'ani Tukufu kuwa ni mwanamke mwema aliyetakasika, ambaye hakuwa mtume bali alilelewa kama nabii na ambaye mwenendo wake ulikuwa kama ule wa Mitume wa Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475521    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/21